Académique Documents
Professionnel Documents
Culture Documents
www.annuurpapers.co.tz au facebook:annuurpapers@yahoo.com
Sauti ya Waislamu
ISSN 0856 - 3861 Na. 1203 MUHARRAM 1437, IJUMAA , NOVEMBA 12-18, 2015 BEI TShs 800/=, Kshs 50/=
Mzee Mwinyi na
Lusitania yaJecha
SHEIKH Ponda Issa Ponda. SHEIKH Msellem Ali.
Uk. 20
ANNUUR NEW.indd 1
11/12/2015 4:56:43 PM
Makala
AN-NUUR
ANNUUR NEW.indd 2
Na mfano ya watu
hawa hakuweza kubakia
katika dunia na kukaa
milele katika hiyo
dunia na hawakuweza
kuzuia kuondoka
kwao kwenda kwenye
nyumba nyingine na
hawakuajiandaa kwa
ajili ya nyumba hiyo na
kwa msemo wa Baddiu
A-Zamanni A-Noursy:
hawakuweza kukiua
kifo kabla ya kufa kwa
hiyo. Imekomelea mida
yao katika dunia na
wameipoteza akhera
yao. Matokeo yake,
wamepata hasara ya
dunia na akhera na hiyo
ndiyo hasara iliyo wazi
sana.
Na lau tunayaelezea
hapa mafunzo mwisho
wa aya, tungeona
kwamba sisi tuko
mbele ya silabi ambayo
hatujaizoea. Ndiyo hatua
yazoea maneno kuhusu
Bishara kwa adhabu
yenye kutiwa uchungu
kwa sababu bishara
hutumiwa wakati wa
kuzungumzia kuhusu
jambo zuri na lenye
kufurahisha na jambo
ambalo linamzamisha
mtu katika mafanikio
na halitumiwi wakati
wa kuzungumzia
m a m b o m a b a ya n a
yenye kuhuzunisha.
Hapasemwi kwa mfano
kuambiwa yule mtu
ambaye amefiwa na
mzazi wake-Pongezi
kwa kufiwa na mzazi.
Na kwa yule ambaye
amefilisika: (haambiwi)
Pongezi ni zako kwa
kufilisika. Kwa sababu
hiyo, kunapasa hapo
kufanya utafiti, kuhusu
hekima nyingine . Na
Mwenyezi Mungu ndiye
ujuzi na kuwazuzua. Na
mfano wa watu hawa
ambao zimekuwa nyoyo
zao zimefungwa chembe
ya imani na mbele ya
Quran na nafsi zao
zimejaa mfundo na chuki
mbele ya mawili hayo,
hapana shaka kwamba
wao watapasuka wakati
watakaposikia mfano
wa aya hizi.
Iwapo tutafanya
kazi ya kuutathimini
mtiririko wa aya
11/12/2015 4:56:44 PM
Habari
AN-NUUR
WA K AT I m a c h o n a
masikio ya wananchi
wengine yakielekezwa
katika kutathmini kasi
ya Awamu ya Hapa Kazi
tu itakavyowaletea
maendeleo
au
kuwapigisha maktaima
walipo, kwa upande wa
Waislamu hali ni tofauti
kabisa.
Bado hawajui hatma
yao katika hili wimbi
la kuwaandama kwa
tuhumza za ugaidi
ambalo limeacha familia
nyingi za Waislamu
zikiathirika.
Ukiacha kundi
k u b wa l a Waislamu
ambao wanashikiliwa
k a t i k a m a g e r e z a ya
D a r e s S a l a a m k wa
tuhuma hizo, wapo pia
wanaoshikiliwa mikoani
ambapo imechukua
muda mrefu bila kesi
zao kuzungumzwa huku
dhamana zao zikizuiwa.
Wa i s l a m u h a o
wakiwemo Masheikh
wa UAMSHO, hivi sasa
ni wafungwa wasio
hukumiwa baada ya
kukaa rumande kwa
miaka miwili.
Lakini ukiacha hao
walio wafungwa,
b i l a h u k u m u , wa p o
walioumizwa mikononi
mwa vyombo vya dola,
wakarejea makwao na
vilema ama athari za
kudumu za kiafya.
Hapa utamkuta
Ustadh Jamal Yassin
aliyeponzwa na kanzu
na kofia yake, ambapo
wenzake wengine
wawili aliokamatwa nao
waliachiwa baada ya
kujitambulisha kuwa
wao ni Pentekoste na
Sabato.
Kwa upande wa kesi
inayowakabili Masheikh
Mselem Ally, Farid Had
na Waislamu wengine 22,
imefahamika mapema
wiki hii kwamba
hatma ya kuanza
kusikilizwa kesi hiyo
sasa ipo mikononi mwa
Mahakama ya Rufani
Tanzania.
Masheikh na Waislamu
hao wamekuwa wakisota
mahabusu ya gereza la
ANNUUR NEW.indd 3
11/12/2015 4:56:45 PM
Tahariri
AN-NUUR
Tunastaajabu ya uchaguzi
tumesahau El Nino injiani
WA K AT I u c h a g u z i
Mkuu Tanzania bara
ukiwa umeshamalizika,
isipokuwa katika
majimbo machache
ambayo uchaguzi
huo haukufanyika
kutokana na sababu
za misiba na hitilafu
za kiwaida, mawazo
ya Watanzania bado
yameendelea kubakia
k a t i k a t a t h m i n i ya
uchaguzi huo.
Wengi
bado
mawazo na fikra zao
wamezielekeza kwa Rais
mpya wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,
John Pombe Magufuli,
huku hamu yao kubwa
ikiwa ni kufuatilia kwa
karibu utendaji wa kila
siku wa Dkt. Magufuli,
wakitamani kujua leo
kafanya nini, kesho
atafanya nini, kesho
kutwa atakuwa wapi nk.
Lakini pia wengi bado
wameelekeza mawazo
ya o h u k o v i s i wa n i
Zanzibar wakitaka kujua
nini hatma ya Uchaguzi
Mkuu visiwani humo,
kati ya wagombea Dkt.
Ali Mohammed Shein
wa CCM na Maalim
Seif Sharif Hamad wa
CUF, hasa baada ya
Mwenyekiti wa Tume
ya Uchaguzi Zanzibar
ZEC, kufuta uchaguzi
uliokuwa ukielekea
tamati visiwani humo.
Hadi sasa hali ni
kitendawili, haijulikani
nini hatma ya uchaguzi
huo na nani atakuwa
Rais wa serikali ya Umoja
wa Kitaifa Zanzibar.
Kwa
ujulma,
Watanzania wengi bado
wamegubikwa na fikra
za uchaguzi, wakitaka
k u o n a u t e n d a j i wa
viongozi wapya katika
siku hizi za awali za
madaraka yao, na pia
ANNUUR NEW.indd 4
wa k i t a k a k u m u o n a
Rais mpya wa serikali
ya Zanzibar na namna
atakavyoanza kazi zake.
Wakati Watanzania
wakiwa wametumbukia
k ati ka lin di h ilo la
kisiasa, wamesahau
kabisa kufikiri juu ya
uwezekano wa kupata
m a a f a ya n a y o w e z a
kusababishwa na mvua
zilizoanza kunyesha
s e he m u mbalimbali
nchini na maeneo ya
Afrika Mashariki kwa
ujumla.
Tayari mvua hizo
zimeshaleta madhara
katika jiji la Mwanza,
ambapo watu kadhaa
wa m e a t h i r i k a
kutokana na mafuriko
yaliyokumba maeneo
mbalimbali ya jiji hilo,
hususan katika eneo la
Mabatini.
Wa t u w a m e k o s a
makazi, mali na miundo
mbinu imeharibika.
Ta a r i f a z i n a s e m a
wa t u wa w i l i t a ya r i
wamethibitishwa kufa
kutokana na mafuriko
hayo na wengine kadhaa
wakikosa makazi.
Huko Rorya, wapo
wakazi wamekosa
makazi baada ya
nyumba zao kuezuliwa
na kimbunga, na mazao
yao kuharibiwa nk.
Tunakumbuka kuwa
awali, Mamlaka ya
Hali ya Hewa TMA,
ilishatangaza na
mapema kuwa kuna
uwezekano mkubwa wa
sehemu mbalimbali za
nchi yetu kukumbwa na
mvua kubwa za El Nino
na kutoa tahadhari na
mapema kwa wananchi,
hususan wale wanaoishi
katika maeneo hatarishi.
Hata hivyo tahadhari
hiyo imeonekana
AN-NUUR
Serikali iwe na
uhakika wa Mahema
au kambi za waathirika,
vifaa vya uokozi, dawa
na chakula. Kwa raia,
hasa wale wanaoishi
mabondeni ni muda
muafaka wa kutafuta pa
kujisitiri na mapema, si
kusubiri kuokolewa na
kupewa msaada ambao
h a u n a u h a k i k a wa
kupatikana na kukidhi
haja.
Tu k i e n d e l e a
kustaajabu ya uchaguzi,
tutayaona ya El Nino.
Mvua zimeshaanza,
tunakumbushana tu.
Inatoka Uk. 3
Novemba 30.
K e s i
h i y o
imeahirishwa kwa
maelezo kuwa shahidi,
upande wa mashitaka
hakutumiwa nauli, kwa
maana amehamishiwa
Jijini Dar es Salaam,
kikazi.
Aidha, kesi nyingine
ya Wa i s l a m u n a n e ,
wa l i o p o m a h a b u s u
katika Gereza la
Butimba, Jijini Mwanza
nayo imeahirishwa hadi
Novemba 23, 2015.
K a t i k a k a d h i a ya
Ustadh Jamal Yassin,
huyu alikamatwa akiwa
na abiria wenzake
wawili wa daladala
ambapo wenzake hao
waliachiwa baada ya
kuulizwa dini zao na
kutambulika kuwa ni
Wakristo.
Kazi ikabakia
kwangu sasa, wakasema
wewe mwenye kanzu
fupi usiondoke.
N i k a a m r i wa n i i n u e
mikono juu na kunirusha
kichura kuelekea katika
gari na hapo safari ya
Central ikaanza.
Hivyo ndivyo
alivyosimulia Yassin juu
ya kukamatwa kwake
na Polisi na kuwekwa
rumande ambapo
anadai kuteswa sana
akidaiwa kuwa ni gaidi.
A n a s e m a
alipofikishwa Polisi
alikaguliwa ikidaiwa
kuwa ni gaidi aliyebeba
katika Mahakama ya
Mjini Morogoro.
Awali hukumu
hiyo iliahirishwa na
Hakimu Mfawidhi wa
Mahakama hiyo, Marry
Moyo, kwa maelezo
kuwa alishindwa
kuikamilisha kuiandika
hukumu hiyo kutokana
na kuteteleka kwa afya
yake.
Haya ndiyo majaaliwa
ya Wai sl a mu , hu ku
wenzao katika jamii
wakitafakari namna
ya kusonga mbele
kimaendeleo katika
zama za Kitabu Hiki
cha Hapa Kazi tu.
11/12/2015 4:56:45 PM
Habari za Kimataifa
AN-NUUR
A T O T O
milioni 11
wapo katika
hatari ya kupoteza
maisha katika nchi
za Mashariki na
Kusini mwa Afrika
kutokana na baa la
njaa, magonjwa na
uhaba wa maji.
Mfuko wa Watoto
wa Umoja wa Mataifa
(UNICEF) umesema
majanga hayo
yamesababishwa na
mvua kubwa za el
Nino zinazoendelea
kunyesha katika
maeneo hayo.
Taarifa ya UNICEF
imesema ukosefu
wa chakula na maji
umesababishwa
na ukame na
kwamba, mafuriko
yaliyotokana na mvua
za el Nino huenda
ya k a wa s a b a b i s h i a
w a t o t o
h a o
magonjwa ya malaria,
kipundupindu na
homa ya dengue.
Ofisi ya Kuratibu
M i s a a d a
ya
Kibinadamu ya Umoja
wa Mataifa imesema
mvua za safari hii ni
kubwa zaidi katika
historia ya nchi za
Mashariki na Kusini
mwa Afrika.
Itakumbukwa kuwa,
watu zaidi ya 2,000
waliaga dunia katika
ukanda ya Afrika
Mashariki na
hususan nchini
Somalia, kutokana
na mvua za el Nino
zilizonyesha kati ya
mwaka wa 1997 na
1998. Irib.
ENYA inapanga
k u i f a n y i a
mageuzi sheria ya
makampuni, ili kuruhusu
makampuni ya kigeni
kuanzisha matawi
yanayoweza kumilikiwa
na makampuni hayo kwa
asilimia 100.
Waziri wa Viwanda
na Mashirika Bw. Adan
Mohamed, alisema
hayo katika mkutano
uliofanyika mjini Nairobi
wiki hii, kuwa Kenya
inatambua mchango wa
mitaji ya kigeni katika
maendeleo ya nchi na
itaweka mazingira mazuri
z a i d i k wa u we k e z a j i
kutoka nje.
Mwezi Septemba Rais
Uhuru Kenyatta, alisaini
mswada wa sheria ya
makampuni kuwa sheria,
ambapo mara sheria hiyo
itakapoanza kutekelezwa,
itabadilisha taratibu za
usajili wa makampuni
ambazo zimekuwa
zikitekelezwa kwa miaka
50 nchini humo.
Hata hivyo sheria mpya
inasema kuwa makampuni
ya kigeni yanayotaka
kuanzisha biashara nchini
Kenya, asilimia 30 ya
umiliki wake unatakiwa
kuwa wa wakenya. CRI
Taarifa ya Televisheni
hiyo iliongeza kuwa
wengi walijisalimisha
kutokana na athari
ya mapambano hayo
makali baina ya waasi na
majeshi ya Syria katika
kijiji cha (Sanisel) kiliopo
Kaskazini mwa mkoa
wa Humeh na Hamswi,
ambapo imepelekea
kuangamia idadi kubwa
ya magaidi hao.
ya Syria, isipokuwa
sehemu ndogo ya
upande wa Kusini na
Kaskazini mwa mkoa
huo, ikiwemo wilaya
ya kale ya Palmyra na
Al-Qaryatayn na mpaka
wa Abulwalid uliopo
mpakani na Iraq eneo
ambalo bado liko chini
ya magaidi wa Daesh.
ABNA.
E L E V I S H E N I ya
T
Alalam, imetangaza
h a b a r i
k u wa
ANNUUR NEW.indd 5
11/12/2015 4:56:46 PM
Makala
AN-NUUR
WANASIASA wawili
wanaowania kutwaa
urais katika Uchaguzi
Mkuu wa Zanzibar
wa Oktoba 25, Dk.
Ali Mohamed Shein
kwa tiketi ya CCM na
Maalim Seif Sharrif
Hamad kwa tiketi ya
CUF walikutana mjini
Zanzibar Jumatatu
wiki hii na kuamsha
upya imani miongoni
mwa wananchi kuhusu
hatma ya mgogoro wa
Uchaguzi Mkuu wa
Zanzibar.
Wa g o m b e a h a o
wamekutana kwa
mara ya kwanza
tangu uchaguzi huo
ilipovurugwa baada ya
Mwenyekiti wa Tume
ya Uchaguzi Zanzibar
(ZEC), Jecha Salim Jecha,
kutangaza uamuzi wake
wa kufuta uchaguzi
wote nchi nzima
visiwani humo Oktoba
28, mwaka huu, huku
akiwa ameshatangaza
matokeo ya urais kwa
majimbo 31 kati ya 54
yote ya Zanzibar.
Rais Dk. Ali Mohamed
Shein na Makamu wake
wa Kwanza Maalim
Seif Sharrif Hamad,
walikutana Ikulu ya
Zanzibar Jumatatu wiki
hii.
Lakini lililoongeza
faraja na matumaini
kwa Wazanzibar, ni
hatua ya Rais Mstaafu
wa Zanzibar, Dk.
Amaan Abeid Karume,
kushirikishwa katika
mazungumzo ya kusaka
muafaka kwa wagombea
hao. Kukutana Dk.
Shein na Maalim Seif
wakati huu, na Dk.
Karume kuhusika katika
mazungumzo yao,
kunaweza kurudisha
imani kwamba utatuzi
wa mgogoro uko mbioni
kupatikana. Faraja
n a m a t u m a i n i k wa
Wazanzibar inatokana
n a u k we l i k wa m b a
Mhe. Abeid Amani
K a r u m e , a l i ye i n g i a
Ikulu Novemba 2000 na
kutoka Novemba 2010,
kwa pamoja na Maalim
Seif Sharif Hamad ndio
ANNUUR NEW.indd 6
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amaan Abeid Karume (katikati), Dkt. Ali
Mohamed Shein na kushoto ni Maalim Seif Sharif Hamad.
waliofanikisha kufikiwa a m e o n ye a s h a k u wa wa kisiasa Zanzibar na
mkataba wa kihistoria muumini wa hilo tangu kupitishwa utaratibu
w a m a r i d h i a n o , kuasisiwa maridhiano.
wa kuwa na serikali
yaliowezesha kuundwa
Dk.
K a r u m e ya umoja wa kitaifa,
kwa Serikali ya Umoja a n a t a m b u a h i s t o r i a tena wakati huo Mzee
wa Kitaifa (SUK) baada y a Z a n z i b a r n a Karume akiwa na nguvu
ya uchaguzi mkuu.
machungu ya wale wote za kimamlaka na kidola,
Kutokana
n a waliopoteza maisha n i f u n z o k u b wa n a
uzoefu wa kizalendo yao katika harakati ya somo kuu la kufikiwa
waliouonyesha kwa kudai uhuru na haki m a r i d h i a n o j u u ya
vitendo Mhe. Karume ya Kikatiba! Alishinda hitilafu iliyojitokeza
na Maalim Seif, wakati u sh a w i sh i w o t e wa katika hatua za mwisho
wa utawala wake na kutoka Bara wa kujaribu z a u c h a g u z i m k u u
hatimaye leo Zanzibar k u l i n d a m a s i l a h i Zanzibar safari hii. Hili
kumudu kuwa na serikali ya Chama badala ya linaweza kuthibitisha
ya Umoja wa kitaifa hadi maisha na maendeleo ya k w a m b a m i g o g o r o
sasa ambapo Zanzibar wananchi wa Zanzibar. y a W a z a n z i b a r ,
i nas hiriki uc h aguzi Matunda ya maamuzi inaweza kutatuliwa na
mwingine mkuu, na ya k e ya b u s a r a n a Wazanzibar wenyewe
k wa k u s h i r i k i s h wa mwenzake Maalim Seif bila kuingiliwa.
Mzee Karume katika yameonekana.
Kufikiwa maridhiano
kutatua sitofahamu
ya
kuwa na Serikali ya
M w i n g i n e
iliyopo Zanzibar hivi a l i y e s h i r i k i k a t i k a Umoja wa Kitaifa (SUK)
sasa, ni dalili tosha m a z u n g u m z o n i na mageuzi ya hali ya
kwamba kupitia uzoefu Rais wa zamani wa siasa ni moja kati ya
wa maridhiano hayo, Zanzibar, Alhaj Ali mambo ambayo leo,
kuna nafasi ya kufikiwa Hassan Mwinyi, ambaye yameifanya Zanzibar
makubaliono kati ya aliiongoza Zanzibar na watu wake kuwapo
Maalim Seif na Dkt. kwa kipindi cha mwaka k a t i k a r a m a n i y a
Shein juu ya hatma ya mmoja kufikia mwaka mwelekeo wa kilele cha
Uchaguzi mkuu huo 1994 (uongozi wa mpito) demokrasia si tu Afrika,
na serikali kuundwa kabla ya kuchaguliwa bali kuzishinda hata
na Zanzibar ikaendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya nchi za Ulaya ambazo
kutulia.
Muungano wa Tanzania baadhi yake demokrasia
Uwepo wa Amani mwaka 1985.
inasuasua.
Abeid Amani Karume
Serikali ya Umoja wa
Kitendo cha pande
kwenye harakati hii ya z i n a z o h i t i l a f i a n a Kitaifa kwa kiasi kikubwa
kuirejesha Zanzibar kukaa meza moja ya imeirejesha Zanzibar
kwenye njia ya Siasa za m a z u n g u m z o n a katika ustaarabu wa
kuvumiliana na kuleta kumshirikisha mmoja siasa ikilinganishwa
m a t u m a i n i ya h a k i w a w a t u m u h i m u na ilivyokuwa siku za
kutendeka kwa kuwa walioridhia muafaka nyuma.
Haya ni matokeo ya
Rais Mstaafu Karume,
kuamua kubadili
m a m b o ya l i y o k u wa
yamezoeleka kwa miaka
m i n g i n a wa l i we k a
kando utashi binafsi na
kutanguliza maslahi ya
wengi katika ujenzi wa
jamii mpya Zanzibar.
Matakwa ya kisiasa
yaliyobadilisha mfumo
wa Serikali Zanzibar
kuwa ya Umoja wa
Kitaifa ni sehemu ya
mtangamano wa
siasa za kistaarabu na
kiungwana visiwani
humo.
Kwa kujifunza
kupitia hekma ya Mzee
Amaan Karume, katika
kipindi hiki tusingesikia
tena matamshi ya
kutaka kurudi nyuma
au kuyumbisha
maridhiano ya kisiasa
kwa kuvurugwa
uchaguzi mkuu visiwani
humo kwa sababu tu za
kihafidhina, chuki au
kutokubali kushindwa.
M a t a m s h i
yanayotolewa na baadhi
ya wanaounga mkono
hatua ya kufutwa
uchaguzi mkuu Zanzibar
hivi sasa, wengi ni wale
wale waliokuwa hawako
tayari kukubali kuwepo
SUK. Matamshi yao
yanatia kichefuchefu na
hayaonekani kama yana
heri na mustakabali wa
kisiasa wa Zanzibar.
Wapo wanaoamini
kwamba hata Mh.
Jecha kufikia hatua
ya kutangaza kufuta
uchaguzi, ni kutokana
na msukumo wa
kihafidhina usiokuwa
tayari
kuona
demokarasia inatawala
Zanzibar.
N i
m u h i m u
wahafidhina waliokuwa
hawataki maridhiano
yaliyozaa SUK na ambao
s a s a wa m e o n e k a n a
k u c h o c h e a k u f u t wa
uchaguzi mkuu,
kimsingi
nao
wanawajibika kuweka
mkazo katika maslahi ya
wengi kama alivyofanya
Rais Mstaafu Amaan
Abeid Karume enzi za
uongozi wake.
Inaendelea Uk. 7
11/12/2015 4:56:46 PM
MAKALA
AN-NUUR
Inatoka Uk. 6
H a t a
k a m a
w a h a f i d h i n a
wataendelea kushikilia
misimamo yao, ukweli
utaendelea kubaki
kwamba hakuna lililo
na mwanzo likakosa
mwisho.
Nchi bila kuwepo
amani, utulivu, umoja na
uzalendo, kusameheana
na kuvumiliana, hakuna
maendeleo na hakuna
atakayefaidika na hali
hiyo. Badala ya kuwaza
mikakati ya maendeleo,
kutakuwa na mawazo
ya kuwekeana kimamati
ya kunyimana haki,
kukomoana na kuumiza.
Hata kama nchi
itakuwa na rasilimali
za kila aina, chuki za
kisiasa na kuminyana
zitaongeza uadui na
mparaganyiko wa
wenyewe kwwenyewe
na matokeo yake wajanja
watumia mwanya huo
kuvuna na uporaji
rasilimali za nchi huku
Zanzibar ikiachwa kapa.
Rais Karume ameweka
historia Zanzibar ya
kuwa kiongozi makini
na mwenye kujali
wale anaowaongoza.
Amekuwa mfano wa
uwajibikaji, uadilifu na
uzalendo. Ana nafasi ya
kutumia hekima zake
kwa Dkt. Shein na CCM
na Maalim Seif na CUF
kulingana na mazingira
ya siasa za Zanzibar ili
kufikiwa muafaka au
maridhiano na Zanzibar
ikaonyesha kwa mara
nyingine ukomavu wa
kidemokrasia.
Lakini pia pande
z i n a z o v u t a n a
z i n a w a j i b i k a
kumheshimu Dk.
Karume wakati huu kwa
yale mema anayoshauri
kwa maslahi ya
Wazanzibar.
Dk. Amaan Karume,
alitumia busara
kuwatendea mazuri raia
wake kile walichokihitaji.
Hakutaka kutumia
ubavu wake wa
kimamlaka kuzima
ANNUUR NEW.indd 7
mahitaji ya Wazanzibar.
Hakujali kufifisha
mamlaka yake au
cha ma cha ke ku jal i
maslahiya Wazanzibar.
Bado anaendelea
kukumbukwa na jamii
kwa busara zake.
Kwa sifa zake hizo,
ana nafasi kubwa ya
kuwa kiungo muhimu
cha maridhiano kati ya
Rais Shein na Maalim
Seif katika mzozo wa
uchaguzi huu. Kwa
Zanzibar ndiye mtu
anayeweza kuwa kinara
wa suluhu kwa mifano
halisi.
Zanzibar kwa miongo
mingi imekuwa katika
lindi la siasa chafu
za kuhasimiana,
kuumizana na hata
kuuana. Jitihada nyingi
zilifanyika kuleta suluhu
zilishindikana. Siasa za
kubaguana kwa misingi
ya vyama na asili za
watu zilishaota mizizi.
Kulikuwa hakuna
kuzikana, kushirikiana
katika shida na raha.
Chuki zilitawala maisha
ya watu. Kila uchaguzi
ulipofika lazima watu
waumizane na wengine
wafe.
Miafaka kadhaa
ilifanyika na kuhusisha
viongozi wa bara lakini
ilishindikana.Lakini
baada ya maridhiano
kufikiwa, siasa za chuki
zilishafifia Zanzibar, hali
za uhasama ilishaanza
kufifia hasa baada ya
Serikali ya Umoja wa
Kitaifa kuundwa na
kuafanya kazi.
Pamoja na kwamba
hatujajuzwa nini
kilichojiri katika
mazungumzo ya
pande mbili hizo na
wazee, lakini itoshe
kubainisha kwamba
njia iliyochukuliwa ni
sahihi zaidi hasa kwa
kuwashirikisha moja
kwa moja wahusika na
gwiji la maridhiano.
Mungu asaidie suala
la mzozo wa uchaguzi
mkuu Zanzibar liishe
kwa haki na amani.
11/12/2015 4:56:47 PM
Makala
AN-NUUR
ANNUUR NEW.indd 8
wananchi wanapoamua
kwa makusudi
kuongozwa na vyama/
makundi hayo, na
hatimae viongozi
wao kukamatwa na
kushitakiwa bila ya
hata kuwa na makosa
ya msingi ya kupelekea
kufanywa hivyo.
Matokeo yake dunia
nzima imekosa amani,
wakimbizi makundi kwa
makundi kila kukicha
wanatafuta akhuweniya
maisha yao kwa vile
wanakotoka hakukaliki
tena.
Nadhani umefika
wakati kwa wachambuzi
wa mambo kukaa
pamoja kwa ajili ya
kutathmini mambo
h a y o n a k u ya p a t i a
muarobaini wake.
Tufikie wakati/mahali
tuseme kuwa sasa basi
tulipofika panatosha,
mbele hakuendeki
tena na kilichobaki ni
kugeuza njia kurudi
nyuma na kuangalia
tulipoanza kukosea ili
tujirekebisha.
Bado tunao muda wa
kutosha tu wa kufanya
mabadiliko. Allah (SW)
bado yupo, muongozo
wake tunao, wanavyuoni
wa kuchambua mambo
wapo; katu tusisubiri
saa ya mwisho kama
alivyofanya Firauni
wakati anamfukuza
Nabii Mussa (AS)
atoke katika Nchi ya
Misri, alipoona tayari
bahari imemzunguka
na ameanza kuzama
ndipo alipoamini
k u wa k w e l i M u s s a
ametumwa na Allah
(SW) kuja kumfikishia
aliyomfikishia, ambayo
yeye (Firauni) aliyaona
hayana nafasi kwake.
Baada ya Allah (SW)
kutuumba ametuletea
muongozo wa namna
ya kuishi hapa duniani,
lakini siku moja wapo
tutakuwa tumekufa na
kufufuliwa ambapo
kutakuwa na maisha
mengine ya huko
A k h e r a . M a i s h a ya
akhera yatategemea
ni kwa kiasi na namna
gani tumeishi maisha
haya ya duniani jee,
tuliishi kwa mujibu wa
muongozo wa Muumba
wetu au tulivyojitakiwa
wenyewe tu.
Ni ukweli usiokuwa
n a p u n j e ya s h a k a
kwamba maisha bora
zaidi ya hapa duniani
kuliko yote yatapatikana
kwa kufuata muongozo
kutoka kwa Allah (SW),
na kinyume chake ni
kwamba maisha dhalili
zaidi ya hapa duniani
na kesho akhera ni
kutokana na kuishi kwa
mifumo tuliyojiwekea
wenyewe.
H a y a
y o t e
yanawezekana. Ni
kuamua na kutimiza
wa j i b u w e t u k a m a
viumbe wa Allah (SW)
ambao ni makhalifa
katika uso huu wa dunia.
(Imeandikwa na
Suluhu A. Hamza-0776
720 588, Zanzibar)
11/12/2015 4:56:48 PM
Makala
AN-NUUR
Na Ben Rijal
WANINI ukaitwa
Mji Mkongwe?
Kikongwe ni
cha kale kwa hio Mji
Mkongwe ni mji wa kale
katika visiwa vya Unguja.
Mji Mkongwe ni mji
ambao hapo kale ulikuwa
ndio mji mkuu wa nchi
na ulikuwa ukionekana
kuwa na haiba ya kila aina.
Mji huu haupisahani na
miji mengine mikongwe
duniani kwa kuwa na
utajiri wa historia. Mji
huu umejengeka katika
ramani kwa umbo
la sambusa (triangle.)
Masafa ya mji huu ni
Hekta 800 na ina wakazi
wasiopungua 18,000. Kuna
majengo yapatao 1,700 ya
kila aina, kuna yenye
kuchukua sura za Kihindi,
Kiarabu na majengo
machache yenye kufwata
ramani za nchi za Ulaya.
Majengo yapatayo 1,100
yametambuliwa kama
majengo yenye thamani
kubwa katika utaalamu
wa ujenzi ambayo
majengo hayo ni kivutio
kikubwa kinachowavutia
watalii kuzuru kisiwa
cha Zanzibar, utalii wa
Z a n z i b a r u m e j i we k a
zaidi katika tarehe ya Mji
Mkongwe na fukwe zake
mwanana.
Katika eneo hili dogo
kabisa ambalo asili yake
hasa kilikuwa kipande cha
ardhi kilichozungukwa na
bahari mithili ya kisiwa
kidogo, kuna Chochoro
23, Makanisa 2, Misikiti 52,
Roshani 50, Varandaa na
baraza na zaidi ya milango
200 iliyonakishiwa kistadi
na ufundi wa hali ya
juu. Mji mkongwe wa
Zanzibar umechaguliwa
kuwa Eneo la urithi wa
Kilimwengu na Umoja
wa Mataifa na Shirika
la Umoja wa Mataifa la
UNESCO. Inasadikiwa
kuwa nyumba za mwanzo
ANNUUR NEW.indd 9
Ngome Kongwe
11/12/2015 4:56:49 PM
10
Na Omar Msangi
EI 7, 1915
meli ya abiria
ya Uingereza
(RMS Lusitania ) ikiwa
na abiria 1,266 na
mabaharia 696 ilizama
na kuuwa watu 1,198,
wakiwemo Wamarekani
128. Ilidaiwa kuwa
meli hiyo ilipigwa na
kuzamishwa na boti za
kijeshi za Ujerumani
(German U-boat U-20)
Uchunguzi uliokuja
kufanyika baadae
uliibua nadharia nyingi
juu ya kuzama kwa meli
hiyo na iliyo maarufu
zaidi ikisema kuwa
hata kama Ujerumani
ilihusika kuipiga meli
hiyo, lakini kulikuwa
na mpango mkakati wa
serikali ya Uingereza
kusababisha tukio kama
hilo, ili kuivuta jamii
ya kimataifa kuichukia
Ujerumani na hivyo
kuungana na Winston
Churchill, katika
k u i p i g a Uje ru mani .
Lakini muhimu zaidi
kuishawishi Marekani
kuingia vitani ikiwa
upande wa Uingereza.
Na kweli, baada ya
tukio hilo, vyombo vya
habari vya Marekani
vikaja juu ya vichwa
v ya h a b a r i v i k i l a n i
Ujerumani kwa kile
k i l i c h o d a i wa k u wa
ni ruthlessly killing
defense less Americans.
Congress na Pentagon
wakaingia kazini, kila
upande kwa namna
yake.
Kachero Patrick Beesly
( v e t e r a n wa N a va l
Intelligence Division,
British Admiralty)
akizungumzia tukio
hilo katika kitabu chake,
Room 40: British Naval
Intelligence, 1914-1918,
anasema kuwa jambo
lililo la wazi ni kuwa
uliwekwa mkakati wa
makusudi kufanya meli
hiyo ishambuliwe ili
kuivuta Marekani vitani.
There was a conspiracy
deliberately to put the
Lusitania at risk in the
hopes that even an abortive
attack on her, would bring
the United States into the
war.
Na katika moja
ya nyaraka za
kumbukumbu za
Churchill juu ya
ANNUUR NEW.indd 10
Makala
AN-NUUR
na hana mamlaka
kikatiba na kisheria
ya kufuta uchaguzi
Zanzibar. Lakini
pia yapo maelezo na
uchambuzi zikiweko
taarifa za waangalizi
wa uchaguzi kutoka
ndani na nje ya nchi
kwamba, hapakuwa na
dosari za kuhalalisha
k u f u t wa u c h a g u z i .
Na ndio maana Jecha
a l i k u wa a k i e n d e l e a
kutoa matokeo, ghafla
akatoweka, alipoibuka,
akatoka na tangazo
la kufutwa uchaguzi
akiwaacha hata
makamishna wa tume
yake wakiduwaa.
Katika ujumla wa yote
hayo, yanakuja madai
na maelezo kuwa sio
Jecha aliyefuta uchaguzi,
bali yeye katumiwa
tu kutoa tangazo. Na
ukisema hivyo maana
yake ni kuwa hakuna wa
kufanya hilo ila wenye
madaraka, walioshikilia
vyombo vya dola na
jeshi, ambao ndio hao
Inaendelea Uk. 11
Maandamano
Assalamu alaykum,
Kwa Niaba ya Zanzibar Welfare Association UK,
inapenda kuwaarifu Watu wote watakaonafasika,
kuhudhuria kwenye Maandamano yatakayofanyika
10 Downing St, London SW1A 2AA kuanzia saa nne
asubuhi siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2015.
Lengo ni kutoa Shukran kwa Waziri Mkuu na
Serikali yake ya Uengereza kuona haki inatendeka
kwa Wananchi wa Zanzibar juu ya uchaguzi Mkuu
uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Kibali kimetolewa na Parliamentary & Diplomatic
Protection Command wakishirikiana na Scotland
Yard Special Events.
Ahsanteni
Mwenyekiti ZAWA UK
Hassan M Khamis
11/12/2015 4:56:54 PM
11
Inatoka Uk. 10
Kule Marekani
tunaambiwa kuwa hivi
sasa kuna matukio ya
k u t i s h a ya k u j i u wa
wanajeshi waliopigana
vita Iraq na Afghanistan.
Rekodi zinaonyesha
kuwa takribani askari
27,258 wameshajiuwa.
Hii ni zaidi ya askari wa
Marekani waliouliwa
wakipigana katika nchi
hizo mbili.
Wa t a a l a m u wa
m a g o n j wa ya a k i l i
wanasema kuwa kujiuwa
ANNUUR NEW.indd 11
Makala
AN-NUUR
11/12/2015 4:56:58 PM
12
MAKALA
AN-NUUR
MAELFU ya Wapalestina
wanaadhimisha miaka kumi
na moja (11) toka kufariki
kiongozi wa Jumuiya ya
Ukombozi wa Palestina
(P.L.O) Yasser Arafat, ambae
alifia hospitalini nchini
Ufaransa, mnamo Novemba
11, mwaka 2004, huku akiwa
na umri wa miaka 75 na
kuzikwa mjini Ramallah
nchini Palestina.
Maabara ya Uswis
ilisimamia uchunguzi wa
kifo cha Arafat na kupeleka
majibu kwa Mamlaka ya
Palestina (P.A). Wataalamu
hao walichukua sehemu
ya mwili wake na baada
ya vipimo ikaonesha kuwa
alilishwa sumu ya kiwango
cha juu aina ya Polonium
210 ambayo ilipelekea kifo
chake.
Wataalamu hao wa Uswis
ili kufanya uchunguzi wa
kina kuhusu kifo cha Arafat,
walichukua kumbukumbu
za matibabu yake kutoka
hospitalini Ufaransa, pia
sehemu ya mwili wake
kutoka kaburini vilevile
vifaa mbalimbali alivyotumia
akiwa hospilini mjini Paris
ambako alifia.
Nae mwanasayansi wa
Uingereza David Barclay
ambae aliisoma ripoti hiyo
ya uchunguzi, alisema:
Ripoti hiyo ina ushahidi
wa kutosha, na kwamba
kwa maoni yangu sumu
hiyo katika mwili wa Arafat
ni zaidi ya mara kumi
na nane (18) ya kiwango
kinachokubalika.
Maafisa wengi wa
Palestina wanaamini kuwa,
Israeli ndio ilimpa sumu
hiyo mbaya Arafat, huku
mwanachama wa kamati
ya utendaji ya P.L.O Wasel
Abuu Yousef akidai Israeli
kuwa nyuma ya mauaji
hayo. Rais Arafat aliuawa
kama muhanga wa kigaidi,
mpango mzima ukifanywa
na Israeli mjini Tel Aviv,
alisema.
"Ripoti hii inathibitisha
yale yote tuliyokuwa
tunayadhania kuwa Arafat
aliuawa;... Sasa tumejua
picha kamili ilivyokuwa,
vilevile tulikuwa tunajua
kuwa nani mwenye nia,
sababu na uwezo wa
kumuua, hivyo tunaomba
haki itendeke kwa kuchukua
mkondo wake," alisema
Hanan Ashrawi , kiongozi
mwandamizi wa Palestina.
Arafat alifariki katika
hospitali ya kijeshi nchini
U f a r a n s a N o ve m b a 1 1
mwaka 2004, baada ya
kuchukuliwa akiwa mgonjwa
wa kuhara na kutapika
mwezi Oktoba mwaka huo
huo. Madaktari Kifaransa
wamesema alifariki kwa
ANNUUR NEW.indd 12
Msaada wa Tanzania
k a t i k a m a p a m b a n o ya
Wa p a l e s t i n a u l i b o r e k a
mno miaka ya 1970, pale
ilipokuwa PLO miongoni
mwa jumuiya za ukombozi
zilizohudhuria mkutano
wa harakati zisizoegemea
upande wowote (NAM) jijini
Dar es Salaam, mwezi Aprili
mwaka 1970.
Tanzania pia ilifungua
milango yake kwa
PLO mwaka 1974, pale
ilipioruhusu kuwa na ofisi
nchini, kasha baadae Ofisi
hiyo kuwa ndio Ubalozi wa
Palestina.
M wa k a 1 9 8 4 wa k a t i
Yasser Arafat alizuru rasmi
Tanzania na kutoa shukrani
zake za dhati kwa kitendo cha
mshikamano ulioonyeshwa
na Watanzania kwa ndugu
zao wa Kipalestina. Aliuliza
kwa namna gani wanaweza
kulipa fadhila zao kwa
Watanzania.
Likatolewa pendekezo la
madaktari wa Kipalestina
kuja Tanzania na kutoa
huduma za afya, jambo
ambalo lilitekelezwa ndani
ya muda mfupi. Ikatolewa
huduma bure kwa
Watanzania kupitia kituo
cha afya kilichojulikana
kwa jina la Kituo cha Afya
cha Palestina, kilichopo
Barabara ya Shekilango
Sinza jijini Dar es Salam.
Yasser Arafat alikuwa
ni ishara ya mapambano
ya watu wa Palestina kwa
ajili ya utambulisho, uhuru
na utaifa wao, alikuwa
na uwezo wa kuwaeleza
mahitaji yao kwa ufasaha
na ufanisi.
PLO, chini ya uongozi
wake,ilikuwa na uwezo
wa kufanya jitihada
kubwa, ambapo moja ya
mafanikio yake makubwa
ilikuwa kuhamasisha
jamii ya kimataifa katika
kuunga mkono wananchi
wa Pa l e s t i n a , k u j e n g a
uhusiano wa wapiganaji na
mshikamano kati ya Afrika
na Palestina.
Wanahistoria watakuja
kushuhudia kwamba
licha ya ukweli kwamba
Wa p a l e s t i n a w e n y e w e
walikuwa wanakabiliwa
na adui mwenye nguvu
na walihitaji kuhamasisha
nguvu zao na rasilimali zao
kwa mapambano yao, lakini
wao pamoja na hayo yote
na wanapigana kwa ajili ya
ukombozi wa Afrika.
Umoja huo ulioimarika
kiharakati, ni lazima
uendelee ili Waafrika na
Wapalestina waheshimu
urithi wa huyu kiongozi
mkuu wa Kiarabu Yaser
Arafat, kwa kuendeleza yote
aliyotuachia.
Contact us: P.O Box 20307,
612 UN Road Upanga West,
Dar es Salaam Tel: 2152813,
2150643 Fax: 2153257 Email:
pict@pal-tz.orgWebsite:
www.pal-tz. org
11/12/2015 4:56:59 PM
13
MAKALA
AN-NUUR
ANNUUR NEW.indd 13
akiwa anahutubia.
Malcolm X kapambana
na ugozi wa Wazungu
ulimchochea kuwa mfuasi
mkakamavu wa Nation
of Islam wakijenga imani
kuwa Black Muslim
ndio njia pekee ya
kujikomboa kutokana na
ugozi uliotopea wa watu
weupe. Ukakamavu wake
ulimfanya alipotolewa jela
kupewa kazi ya kueneza
n a d h a r i a i l i o a s i s i wa
na Elijah Muhammed
kuwa Waislamu weusi
wanaonewa wachukie
watu weupe na wawe
wapo tayari kwa lolote
lile kupambana na watu
weupe na watu weupe sio
watu wala wasishirikiane
nao. Malcolm X aliifanya
kazi hio ya ugozi na
akiwavutia vijana wengi
weusi kujiunga na Nation
of Islam na hata wale
walioshindwa kusilimu
wakimhusudu na
kumuigiza. Alipofika upeo
huo Elijah Muhammed
akawa anatiwa na
khofu kuwa nafasi yake
itanyakuliwa na Malcolm
X.
Mwaka wa 1965
Malcolm X alipata fursa
ya kwenda kuhiji Makka
na kuzitembelea nchi za
Kiafrika na hapo Malcolm
ndipo alipobadilika na
kuja kufwata Uislamu wa
kweli usiohubiri ubaguzi
wa Mweupe kwa Mweusi
na Mweusi kwa Mweupe
wala kutumia mabavu
pasi kuwa na sababu
zilizodhukuriwa katika
kitabu kitakatifu cha Quran
na Hadithi za Mtume
( S AW ) . A l i p o k u we p o
Makka aliandika barua
ambayo imewekwa kama
kumbukumbu. Barua
hiyo alimuandikia kaimu
wake aliokuwepo Harlem.
Tafsiri ya barua hio yapo
hapo chini.
Barua ya Malcolm X
kwa Kaimu wake
Aliaanza kwa kusema
maneno yafwatayo:
Sijapatapo kuona wema
na ungwana wa kindugu
ambao unatekelezwa na
watu wa rangi mbalimbali
na makabila mbalimbali
katika ardhi ya nchi ya
Mtume Ibrahim, Mtume
Muhammad (SAW) na
Mitume mbalimbali
walioteremshiwa vitabu
vitakatifu. Ukweli kwa wiki
nzima iliyopita nimekuwa
ni mtu nisiyekuwa na kauli
na kuvutiwa kwa kiwango
Inaendelea Uk. 14
11/12/2015 4:57:00 PM
14
MAKALA/TANGAZO
AN-NUUR
ANNUUR NEW.indd 14
11/12/2015 4:57:00 PM
15
ANNUUR NEW.indd 15
AN-NUUR
MAKALA
A
Y
O
U
B
B
C
A
M
M
A
D
A
M
A
S
E
N
T
U
A
T
A
B
U
K
D
S
U
S
N
A
B
C
D
E
G
F
M
S
S
U
L
E
Y
M
A
N
E
A
M
U
H
A
M
A
D
A
M
A
I
A
L
L
N
N
C
E
U
Y
S
D
B
A
O
O
N
I
H
O
H
U
I
M
U
U
N
O
A
U
A
R
R
H
R
H
S
U
M
B
Q
A
K
A
B
S
K
A
A
B
I
S
S
A
N
N
Y
B
D
N
MASUALA
1.
Jina la Mtume Issa kwa Kiengereza. Jawabu : Jesus
2.
Jina la Mtume Yunus Kienegereza. Jawabu : Jonah
3.
Alipopiga bahari kwa fimbo yake ikafanya njia akapita na
kaumu yake ni Mtume gani? Jawabu : Mussa
4.
Mtume gani akijua lugha za wanyama? Jawabu : Suleyman
5.
Mtume gani alikuwa na Subira ya hali ya juu yenye
kupindukia? Jawabu : Ayoub
6.
Mtume aliyemlea bibi Maryma baba wa Mtume Yahya.
Jawabu : Zakaria
7.
Kigezo chema kwa Waislamu ni kwa nani? Jawabu :
Muhamad
8.
Mtume yupi aliozaliwa Kimiujiza? Jawabu : Issa
9.
Aliwalingania Umma wake kwa karne 9. Jawabu : Nouh
10. Taja Mtume wa mwanzo na wa mwisho (Nouh-Idriss,
Mussa-Issa, Adam-Muhammad) Jawabu : Adam-Muhamad
*Kuna kosa ndani ya Jadweli hakuna jina la Jesus na Zakaria
CHEMSHA BONGO: 26
Weka duara kwenye jawabu ilio sawa. Jawabu kamili wiki ijayo.
B
E
N
G
A
L
U
K
K
1850
B
H
O
P
A
L
P
U
I
WHO
J
U
S
U
H
U
U
G
U
WMO
E
S
A
T
A
P
P
W
M
WCO
R
T
F
T
I
P
A
I
E
G
U
B
G
U
F
I
E
A
S
X
S
I
H
R
A
D
P
K
U
U
A
T
J
U
Y
A
O
I
K
C
L
I
K
K
A
E
S
R
I
R
E
U
L
I
F
B
B
U
K
Y
M
A
M
Z
A
F
H
S
E
1960
B
A
K
T
E
R
I
I
Y
Z
L
E
U
K
I
M
I
A
O
1950
MASUALA
1.
Jee utowaji wa majina kwa vimbunga umeanza mwaka
gani? 1850, 1950, 1988.
2.
Litaje shirika linaloratibu utowaji wa majina ya vimbunga.
WHO, WMO, WCO,
3.
Majina yepi yanatawala kuitwa kwa vimbunga, majina ya
Kiume au Kike?
4.
Bengal, Kashmiri, Bhopal ni mji upi ndio uliripotiwa
duniani kwa mara ya kwanza kukumbwa na janga la kipindupindu?
5.
Anayosababisha kipindupindu ni Kirusi, Kugwi, Bakteria.
6.
Saratani ya damu inajulikana kwa jina gani?
7.
Nini jina la ndege Hoope (Hud hud) kitaalamu?
8.
Jina la ndege Hoope linaekwa kwenye familia gani?
9.
Itaje Miji 3 muhimu katika eneo la Palestine.
10. Nchi gani yenye wakazi wengi wa dini ya Kiislamu ikiwa
ipo sehemu Ulaya na sehemu Asia
Jee Unajua?
1.
Miti inaisihi kwa miaka mingi kufikia umri wa miaka
alfu na kuongezeka kina cha urefu wake aidha asilimia 25 ya dawa
zote zinazotumiwa duniani hutokana na misitu ya mvua. http://
www.greenpeace.org.uk/blog/forests/9-awesome-facts-aboutforests-20140321
2.
Mti uliohesabiwa kuwa na umri mkubwa umeonekana
huko Marekani ukikisiwa kuwa na umri wa miaka 4,700.
3.
Inafahamika kuwa samaki wameanza kuonekna duniani
kwa zaidi ya miaka milioni 450, aidha kuna aina ya samaki zaidi ya
alfu 15 duniani bado hawajatambulikana. http://www.peteducation.
com/article.cfm?c=16+2160&aid=586
4.
Sio samaki wote wana magamba, mfano jamii ya Papa ni
samaki wasio na magamba. http://facts.randomhistory.com/fishfacts.html
5.
Inakadiriwa kuwa kiwango cha kiasi asilimia 40 ya samaki
duniani kote hupatikana katika maeneo ya maji ya baridi. https://
kidskonnect.com/animals/fish/
6.
Inafahamika kuwa Waskotish ndio watumiaji wakubwa wa
uraibu wa Cocaine duniani. http://www.factslides.com/s-Cocaine
7.
Watu wa Korea hula pweza mbichi kikiwa ni kitoweo.
http://www.factslides.com/s-Octopus
8.
Kila siku duniani kote watu hunywa vikombe bilioni 2.25
vya kahawa. http://www.factslides.com/s-Coffee
9.
Kuna baadhi ya nyoka hufikia kuweza kuishi kwa miaka
miwili pasi na kula. http://www.factslides.com/s-Snake
10. Pua yako ina uwezo wa kuzikumbuka harufu za aina
50,000. http://www.factslides.com/s-Your-Body
11/12/2015 4:57:01 PM
16
MAKALA
AN-NUUR
ABLUS (Ma'an) -N
Israeli forces issued
eviction notices to 10
Pa l e s t i n i a n f a m i l i e s
from Jaloud village in
the northern occupied
West Bank district of
Nablus, with the intent
of demolishing the homes,
a local monitor said.
Ghassan Daghlas,
who monitors settlement
activity in the northern
West Bank, said the families
r e c e i ve d o r d e r s f r o m
Israeli forces that state the
families should leave their
homes within 15 days, so
they can be demolished
due to their proximity to a
nearby settlement.
Daghlas said the area
$8 million worth of
funding to improve
"basic services and
quality of education" in
the occupied Palestinian
territory.
The World Bank
affirmed in a statement its
"long term engagement"
with the two sectors,
saying they were "vital
to the state building
process and the cohesion
of Palestinian society
despite the fragile sociopolitical context."
One grant worth $5
SRAELI forces
demolished at least
three apartments
in the Beit Hanina
neighborhood of East
al-Quds on Monday,
the Palestinian Maan
news agency reported.
According to
witnesses, Israeli forces
used bulldozers to
demolish a housing
complex which
contained three
apartments. The Israeli
forces demolished the
homes with all of the
families' belongings
inside.
Sources say the
destruction has cut the
supply of water and
electricity to nearby
ANNUUR NEW.indd 16
al-Quds ( Jerusalem),
ransacked the building,
and confiscated the
radios broadcasting
equipment, Arabiclanguage Palestine alYawm news agency
reported.
The Israeli army had
earlier ordered Free
Palestine Radio to be
shuttered for at least six
months after accusing
it of spreading hatred
against the Tel Aviv
regime.
11/12/2015 4:57:03 PM
17
HABARI/MASHAIRI
AN-NUUR
ATIKA mfululizo
wa makala za
wanavyuoni
wetu, hii leo
tutamuangalia alimu
mwengine wa visiwani
humu kwa jina ni Sheikh
Muhammad Bin Umar
Al-Khatibu.
Sheikh Muahammad
Bin Umar kama watu
walivyopenda kumwita
b wa n a wa S h a n g a n i /
Shakani, alizaliwa
m wa k a wa 1 2 3 9 A . H
(1876). Unapojaribu
kutaka kumzungumza
Sheikh inakubidi kwanza
umtizame ni nani mwalimu
wake? Katika wanafunzi
wengi wa Sheikh Abdallah
Bakathir (1860-1925)
aliowasomesha pale
alipokuwa keshastakimu
Unguja, alikuwa ni Sheikh
Muhammad Bin Umar.
Sheikh Muhammad Bin
Umar alipelekwa kupiga
goti na kupinda shingo
(kusoma) kwa Sheikh
Abdallah Bakathir na hapo
aliweza kuonyesha jitihada
kubwa ya kujifunza, na
Sheikh Bakathir akatokea
kumpenda mno na
kumfanya kati ya watu
wa aila yake na alikuwa
akiandamana naye popote
pale alipokuwa anakwenda
na kuhakikisha kuwa
Sheikh Muhammad Bin
Umar yupo naye popote
pale aendapo.
Sheikh Muhammad
B i n U m a r a l i p o k u wa
anajifunza na wanafunzi
wenzake ikiwa wa
makamo yake na
wengine waliomzidi
hirimu, kilimchukua
kipindi cha muda mfupi
sana kuonekana kuwa
mwanafunzi hodari na
aliweza kuwa taliisha
wenziwe na muda usio
mrefu. Aidha, alipata
makamo ya kusomesha
darasa ndogo ndogo hapo
Ukutani alipoachiwa na
Sheikhe wake Sheikh
Abdalla Bakathir.
Ukutani katika nyakati
hizo ilikuwa ni sawa na
"College yeyote ile kubwa
ya kidini hivi sasa duniani,
kwani wanavyuoni
takriban asilimia kubwa
walipitia hapo na kusomea
Ukutani na wasomi hao
walikuja kukubalika nje ya
Afrika Mashariki ikiwemo
Hadharmout, Makka na
ANNUUR NEW.indd 17
wa kusomwa juzuu
kamili. Kumbukumbu
zinaonyesha kuwa
ni Msikiti wa mwanzo
visiwani kuwa wakisali
Tarawehe na Witri katika
mwezi wa Ramadhani
kwa kusoma kila siku
juzuu moja. Hivi sasa
jema linaloendelea nikuwa
Misikiti mingi visiwani
inakwenda na mtindo
wa kusali Tarawehe na
Witri kwa usomaji wa
juzuu nzima. Msikiti wa
pili kusali Tarawehe na
Witri kwa kusoma Juzuu
nzima ulikuwa Msikiti wa
Chwaka katika Karne ya 19.
Chwaka ipo katika wilaya
ya kati, ikiwa ipo shamba,
mjini kulijaa Misikiti lakini
haikufwata mtindo huu
kwa haraka kama Chwaka.
Nini kilipelekea Chwaka
kwenda na mtindo huu?
Jawabu ni kusema kuwa
wanafunzi waliokuwa
wakisoma Ukutani
na kusali Msikiti Gofu
walichukua mtindo huo
na kwenda nao Chwaka
na Chwaka nako kulikuwa
k a t i k a s e h e m u z e n ye
wasomi wazito wa dini ya
Kiislamu kama ilivyokuwa
Donge na Makunduchi
siku hizo.
Sheikh Muhammad
Bin Umar alitokewa
kupendwa sana na Sheikhe
wake na alipewa makamo
ya kusalisha Tarawehe
na Witri wakati walimu
wake wakuu wa hai na
wakiwa nao wakihudhuria
sala hizo, hao sio wengine
ila ni Sheikh Abdallah
Bakathir na Sayid Ahmed
Bin Sumeit. Sheikh
Muhammad Bin Umar
alidumu kuzisalisha
sala hizi hadi alipokuja
k u p o k e wa n a S h e i k h
Abdallah Saleh Bin Farsy
katika mwaka wa 1933.
Sheikh Muhammad
alikuwa akiisoma Quran
kwa hukmu zake na kwa
ukamilifu, jambo ambalo
lilimfanya achaguliwe
kuwa Khatibu wa Msikiti
Ijumaa wa Malindi na
Sheikh Abdallah Saleh
11/12/2015 4:57:03 PM
18
MAKALA/TANGAZO
AN-NUUR
Inatoka Uk. 20
Alisema Maalim
Seif katika kikao
hicho cha kwanza
cha kuzungumza na
wajumbe hao tangu
u c h a g u z i m k u u wa
Zanzibar ulipomalizika.
Amesema, tayari dunia
nzima wanamfahamu
Rais aliyechaguliwa na
wananchi wa Zanzibar
katika uchaguzi mkuu
uliopita, na kuwataka
wanachama wa Chama
hicho kuacha kusikiliza
kile alichokiita
proganda za Chama Cha
Mapinduzi zinazoeleza
kurejewa kwa uchaguzi.
Amefahamisha kuwa
hakuna sababu za
kurejewa kwa uchaguzi
huo kwani uchaguzi
ulishakamilika katika
ngazi zote na washindi
wa uwakilishi na udiwani
kutangazwa bila ya
kuwepo malalamiko
yoyote, na kwamba
kinachosubiriwa hivi
sasa ni kukamilika kwa
zoezi la uhakiki wa kura
za Urais kwa majimbo
yaliyobakia na hatimaye
mshindi wa uchaguzi
huo aweze kutangazwa.
M a p e m a
a k i z u n g u m z a
katika mkutano huo,
Mkurugenzi Mipango na
Chaguzi wa CUF Omar
Ali Shehe, amesema
licha ya ushindi wa
Urais, Chama hicho
tisa(9) na madiwani
kumi na tano (15).
Aidha amesema
Chama Cha Mapinduzi
kimepoteza wodi zote
tatu (3) za udiwani
katika kisiwa cha Pemba
na kukifanya Chama
hicho kushindwa kupata
m j u m b e ye y o t e wa
Baraza la Wawakilishi,
Ubunge na Udiwani.
Kabla ya mkutano
NAFASI ZA KUJIUNGA NA KOZI FUPI YA UALIMU KATIKA VYUO VYA UBUNGO NA KIRINJIKO-2016
MUDA WA KUCHUKUA FOMU UMEONGEZWA TAREHE 28 NOVEMBA 2015.
Sifa na masharti ya kujiunga
Muombaji atimize sifa na masharti yafuatayo:
(i) Awe Muislamu aliye tayari kuishi Kiislamu
(ii) Awe anajua kusoma Quran kwa ufasaha.
(iii) Awe amemaliza juzuu ya 1 na 2 ya Maarifa ya Uislamu, Darasa la Watu Wazima kabla ya kujiunga.
(iv) Awe na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya Kiswahili kwa ufasaha.
(v) Awe amehitimu darasa la saba au kidato cha nne na awe anafundisha madrasa au kipindi cha dini katika shule za Msingi
au Sekondari.
Patakuwa na usaili siku ya tarehe 06/12/2015 saa 2:00 asubuhi katika chuo cha Ubungo na Kirinjiko na katika vituo
mbalimbali vya mitihani kote nchini.
Mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 05/12/2015.
Fomu italipiwa shilingi 5,000/- tu.
Fomu zinapatikana katika vituo vilivyoorodheshwa ukurasa wa 19 wa gazeti hili.
WABILLAH TAWFIIQ
MKURUGENZI
ANNUUR NEW.indd 18
11/12/2015 4:57:04 PM
19
ANNUUR NEW.indd 19
TANGAZO
AN-NUUR
11/12/2015 4:57:04 PM
AN-NUUR
20
MAKALA
20
Na Mwandishi Wetu
IKAO cha
M a a l i m
Seif Shariff
Hamad, kina
dosari kubwa na
taarifa zake haziwezi
kuaminika.
Hivyo ndivyo
wa n a v y o s e m a
wachambuzi wa siasa
na mambo ya utatuzi
wa migogoro ya kisiasa.
Mmoja wa wasomi
mashuhuri nchini
akitoa uchambuzi wake
amesema kuwa dosari
kubwa ya kikao hicho
ni mahali kilipofanyika
na wajumbe wa kikao
chenyewe.
Kwa Seif (Maalim
Seif Shariff Hamad)
kwenda Ikulu kukutana
na Mheshimiwa Dr.
Shein, kwanza inatoa
picha kwamba kaitwa
na bosi wake na
kaitikia wito, na hiyo
ni kuonyesha kuwa
anakubali kwamba Dr.
Shein bado ni Rais wa
Zanzibar kinyume na
wanavyotuchambulia
wanasheria na
wataalamu wa mambo
ya katiba.
Anasema msomi
h u y o a m b a ye h a t a
hivyo hakutaka jina lake
kutajwa gazetini.
Hali ilivyo hivi
sasa ni ya mgogoro,
hata kama ni mgogoro
b a n d i a , wo te hawa
wawili, hadhi yao ni
sawa, ni wagombea
urais kupitia vyama
v ya o , n a m g o g o r o
uliopo ni kuwa Tume
haijamtangaza ni nani
mshindi kati yao,
na kipindi cha urais
(serikali) uliokuwepo
ulishakwisha muda
wake kikatiba na
kisheria, si mgogoro wa
Rais na Makamo wake.
Maalim anapokwenda
I k u l u ya Z a n z i b a r ,
anakwenda kwa
bosi wake, sasa hapo
anakwenda kujadili
jambo au kupewa
maelekezo? Alihoji
Soma gazeti la
AN-NUUR
KWA TSH 800/=
kila Ijumaa
AN-NUUR
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na Business Printers Ltd, Dar es Salaam.
ANNUUR NEW.indd 20
11/12/2015 4:57:04 PM