Académique Documents
Professionnel Documents
Culture Documents
Fomu Ya Mkopo Wa Dharula
Fomu Ya Mkopo Wa Dharula
PICHA
6. KUIDHINISHA MKOPO:
Mimi/Sisi viongozi tulioweka saini zetu hapa chini tumepitia, kujadili na kuidhinisha
maombi ya mkopo kwa Ndg…… ………………………………………….na Tunakubali/
Hatukukubali kupitisha Mkopo wa shilingi ……………………. …kwa maneno Shilingi
………………………… …………..……………………………
Mambo ya Kuzingatia:
1. Mkopo wa dharula utatozwa riba ya asilimia 4 (4%) kwa mwezi kwa mfumo
mnyoofu,
2. Endapo mwanachama atajiondoa uanachama akiwa na mkopo wa dharula
atatozwa asilimia 20 (20%) ya salio lililobaki,
3. Rejesho/Marejesho yatakayocheleweshwa kulipwa kwa kila mwezi yatatozwa
asilimia 5 (5%) ,
4. Mwanachama atakayesumbua katika urejeshaji atapumzishwa kukopa kwa miezi
mitatu (3) tokea tarehe ya kulipa deni lake lote la mkopo wa dharula,
5. Kwa mwanachama atakayekaidi ama kushindwa kurejesha mkopo na akataka
kutumia akiba kulipa deni la mkopo wa dharula atatozwa asilimia 30 (30%) ya
akiba iliyotumika.