Académique Documents
Professionnel Documents
Culture Documents
DEPARTEMENT DE DEVELOPPEMENT
PAROISSE KITUKU
BP 107
KALEMIE
COMPTE RENDU DE LA REUNION
DU COMITE DE DEVELOPPEMENT
MODERATEUR :
DATE :
HEURE :
LIEU :
1.
2.
3.
DIVERS :
1. Mot du Président
- Débat
- Conclusion
(…)
2. IDEM
Kila shirika ina sheria zake. Sisi kama Idara (Département) ya Maendeleo
itatubidi kulomba Statut Kanisa ili tujuwe jinsi gani tunaweza kutumika bila kuenda kando ya
sheria ya Kanisa .
Jambo hili limekubaliwa na wanamemba wote walioshiriki kikao na ndugu
mweneyekiti amepewa jukumu ya kuonana na uongozi wa kanisa ili aombe Statut na kuona
Mwenenyekiti atasafiri basi mwenyekiti makamo atashugulikia jambo ili.
2. KAZI YA KAMATI YA MAENDELEO
Tuko tunapokea waaamani wapya karibia kila wiki, lakini tumefanya constat ni kama
idadi ya watu haiongezeki,
Kuhusu watu kanisani, ni jukumu la kanisa kwa sababu watu wanalelewa na injili, na
injili ni kiroho.
Lakini idara ya maendeleo inaweza kusaidia , kupitiya miradi ya maendeleo
inaweza kuvuta waamini wapya hasa.
Apana, sababu hakuna kamati ambayo likuwa inafanya kazi kabla ya hii kamati.
5. MIRADI YA KANISA
Tutakuwa tunakutana mara mbili kwa kila mwezi, siku ya Mungu ya kati na ya
mwisho wa mwezi.
Vice-secrétaire Président